Tambwe ameendelea kutibiwa huku ikionekana bado hana matumaini makubwa kuivaa Simba itakapoivaa Simba kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, keshokutwa Jumamosi.
“Bado anatibiwa, inaonekana hajawa fiti kabisa ingawa amekuwa akiendelea na mazoezi,” kilieleza chanzo.
Yanga inaendelea kujifua kambini Morogoro wakati mchezaji huyo matibabu yake amekuwa akipata matibabu jijini Dar.
No comments:
Post a Comment