Saturday 9 December 2017

HIVIPUNDE:Rais Magufuli atoa msamaha Leo kwa Babu Seya na Mwanae Papii Kocha.


Image result for Babu Seya
Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Sherehe za kumbukumbu hizi zinafanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameamua kusamehe familia ya Nguza Viking (Babu Seya) na ndugu Johnson Nguza au Papii Nguza waaachiwe huru kuanzia leo.

Pamoja na wafungwa 61 waliohukumiwa kunyogwa na Wafungwa wengine 8,157 kuachiwa huru

No comments:

Post a Comment