Friday 22 December 2017

Klabu ya Ajax yatoa sababu yakumfuta kazi kocha wake na benchi zima la ufundi.

Related image
Klabu ya Ajax Amsterdam ya nchini Uholanzi imetimua benchi lake lote la ufundi kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo katika michezo ya ligi ya Uholanzi na ulaya .

Waliotimuliwa ni kocha mkuu Marcel Keizer na msaidizi wake Dennis Bergkamp na pamopja na kocha wa Hennie Spijkerman.
Image result for Marcel Keizer  Ajax Amsterdam
Marcel Keizer.
Meneja mkuu Edwin Van De Sar na mkurugenzi wa kiufundi Marc Overmars pia wameondoka katika sehemu ya uongozi kwa sababu ya matokeo mabaya
Mlinzi wa zamani wa kimataifa wa uholanzi Michael Reiziger, na Winston Bogarde wamepewa mikoba ya kuingoza Ajax kwa muda.
Huku makocha wakubwa kwenye soka la Uholanzi kama Ronald Koeman na Frank De Boer wakitajwa kuwaq katika mpango wa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment