Tuesday 12 December 2017

PICHA:Mpiga picha juu ya majengo marefu afariki.

Image result for Wu Yongning
Mpanda mijengo mirefu ambaye ni maarufu sana nchini China amefariki akionyesha moja ya ujuzi wake hatari.

Wu Yongning alikuwa amejizolea maelfu ya mashabiki kwenye mtandao ya kijamii wa Weibo, kutokana na video zake fupi za kutisha akiwa juu ya majengo marefu bila ya kuchukua tahadhari zozote za kiusalama.
Wasi wasi uliwaingia mashabiki wake wakati aliacha kuchapisha video zake mwezi Novemba.
Image result for Wu Yongning
Sasa imeibuka kuwa alikufa baada ya kuanguka kutoka jumba la ghorofa 62 kwenye mji wa Changsha.
Image result for Wu Yongning
Vyombo vya habari nchini China vinasema kuwa alikuwa akishiriki kwenye mchezo wa kushinda pesa nyingi.
A composite image shows Wu Yongning, left, facing outward on the exterior of a wall high above the city skyline, holding on with just one hand from a ledge above ; and right, sitting on a steel girder which is projecting over the edge of a very tall building into the streetHaki miliki ya picha
Image captionMpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China

No comments:

Post a Comment