Saturday, 9 December 2017

Tetesi zote za Soka kutoka Barani Ulaya.

Image result for Pierre-Emerick Aubameyang
Meneja wa Everton Sam Allardyce anapanga kumnunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang kwa kima cha paunia milioni 60. (Mirror)

Manchester Unites wako tayari kunyakua mlinzi wa Juventus anayetaka kuhamia Chelsea Alex Sandro. Inaaminiwa kuwa klabu hiyo ya Italia itahitaji karibu paunia milioni 60 kwa mchezaji huyo wa umri wa miaka 26. (Express)
Gareth Bale
Image captionGareth Bale
Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale, 28, ataruhusiwa kuondoka Bernabeu msimu ujao huku Manchester United wakimmezea mate mchezaji huyo wa zamani wa Tottenham. (Diario Gol, via Express)
Chelsea watamenyana na Barcelona kumsaidi mchezaji wa safu ya kati ya Gremio Arthur, 21, ambaye Chelsea wanatambua kama mrithi wa Chelsea Cesc Fabregas. (Mirror)
Philippe CoutinhoHaki miliki ya picha
Image captionPhilippe Coutinho
Chelsea wana mpango wa kumsaini wing'a wa Bayer Leverkusen, Leon Bailey, 20, kwa kima cha pauni milioni, 20. (Sun)
Mchezaji Philippe Coutinho amekataa kuthibitisha kuwa atasalia Liverpool mwezi ujao, wakata Barcelona wanaandaa pauni milioni 127 kumpata mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)
Danny IngsHaki miliki ya picha
 
Image captionDanny Ings
West Ham na Cyrstal Palace wote wanafakiriwa kumwinda mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings, 25, kwa mkopo (Guardian)
Juventus wameshauriwa nyota wao wa zamani Alessandro Del Piero kumwendea mchezaji wa safu ya kati wa Liverpool
Matumaini wa Manchester United kumsaini mchezaji wa safu ya kati wa Schalke Leon Goretzka yamegonga mwamba baada ya kupata jeraha. (Mail)

No comments:

Post a Comment