Friday 1 December 2017

Vifahamu Viwango bora vya Mishahara ya Makocha wa Uingereza wanaolipwa vizuri.

Image result for Guardiola,mourinho,conte,wenger
Ligi ya Uingereza imekuwa ni ligi pendwa zaid ulimwenguni kwa wapenzi na mashabiki wa Soka kutokana na aina ya Timu mbalimbali zilizopo na ushindani uliopo kutoka kwa Timu hizo.

Mbali na hilo Makocha pia waliopo katika ligi hiyo wamekuwa wakijizolea umaarufu hasa pale wanapofanya vizuri kwa kuzisaidia Timu zao kuchukua ushindi na kunyakua mataji tofauti 

Hii ni orodha ya  makocha wa Klabu za Uingereza wanaolipwa vizuri zaidi katika Ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment