Tuesday, 16 January 2018

Joseph Parker atuma salama hizi kwa bondia Anthony Joshua.


© Kevin Quigley/Daily Mai
© Kevin Quigley/Daily Mail

© Kevin Quigley/Daily Mail

Joseph Parker ameonyesha yuko tayari kumvaa mkali Anthony Joshua katika pambano kali la uzito wa juu litakalopigwa Machi 31, mwaka huu.
© Kevin Quigley/Daily Mail

Parker ameonyesha yuko tayari akipiga mkwara kwa kumla samaki akiwa mbichi kabisa.

Raia huyo wa New Zealand ametamba mwisho wa Joshua kutoka Uingereza.

Bondia huyo mwenye miaka 26 amepigana mapambano 24 na kushinda yote na kasisitiza. Ataendeleza vipigo kwa kumgaragaza Joshua.


REKODI ZAKE:

Mapambano: 24
Ushindi: 24
Kupoteza: 0
Sare: 0
Urefu: 6ft 4ins
Urefu wa mkono: 76ins



Asilimia za KO: 75%

No comments:

Post a Comment