Friday 19 January 2018

Lionel Messi atoa neno kuhusu Ronaldinho.

Image result for lionel messi sad moments
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Messi ambaye bao lake la kwanza alifunga akipata pasi ya Ronaldinho ameandika ujumbe huu:


“Kama ambavyo nimekuwa nikisema, nimejifunza mengi kwako. Nitaendelea kukushukuru kwa kufanya mambo kuwa rahisi kwangu nilipojiunga na timu.

“Nilikuwa na bahati kuwa karibu yako, licha ya kuwa staa uwanjani lakini nje ya uwanja ulikuwa mtu mwema na hilo ndilo jambo muhimu, licha ya kuwa umeamua kustaafu, soka halitasahau tabasamu lako, nakutakia kila la kheri, Gaucho.”

Image result for lionel messi with ronaldinho

No comments:

Post a Comment