Usiku wa kuamkia leo (Jumatatu) umefanyika utoaji wa tuzo za Grammy katika viwanja vya Madison Square Garden jijini New York nchini Marekani Tuzo ambazo zimehudhuliwa na Mastaa kibao walihudhuria tuzo hizo akiwemo Jay Z, Beyonce na mtoto wao Blue Ivy, Elton John, Lady Gaga, Zayn, Pink, Dj Khaled na mwanae Asahd, John Legend na mkewe Chrissy Teigen, Big Sean, Jaden Smith, Ne-Yo na wengine.
Monday, 29 January 2018
PICHA:Tazama mastaa wakubwa walivyotokelezea katika Usiku wa tuzo za GRAMMY.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment