Alexis Sanchez amefanikiwa kupata mjengo wake wakuishi pamoja na familia yake jijini Machester.
Mjengo huo umenunuliwa kwa kitita cha thamani ya Euro 2milion manunuzi hayo yamefanyika baada ya usajili wake kukamilika kwa kupata dau nono la £ 350,000 kwa wiki.
No comments:
Post a Comment