Sunday 18 February 2018

CHADEMA watoa tamko lao kuhusu kuyakataa matokeo ya uchaguzi.

Image result for Dr. Vicent Mashinji na freeman mbowe
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo mawili (Kinondoni na Siha) na Kata 10, Chama kitatoa Taarifa


No comments:

Post a Comment