Friday 23 February 2018

John Mnyika atoa neno la tahadhari kwa CHADEMA na wananchi kuhusu Mauaji.

Image result for John Mnyika NA WAANDISHI WA HABARIMBUNGE wa Jimbo la Kibamba (CHADEMA), John Mnyika amewatahadharisha viongozi wa chama hicho na wananchi kutokana na mauaji ya kutisha yanayoendelea hapa nchini.



Akizungumza na wanahabari jijini Dar leo, Mnyika amesema viongozi wa wanapaswa kuchukua tahadhari kwani vifo vingi vya kutatanisha vimetokea siku za hivi karibuni huku wengi wa waliouawa wakiwa ni viongozi wa chama hicho.

No comments:

Post a Comment