Wednesday 28 February 2018

Mechi tano muhimu kwa Simba VPL.

Image result for simba sc wazidi kuwasha moto
Klabu Simba inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 45, huku Yanga wakiwa na pointi 37, wakiwa wametofautiana pointi tano imebakiza michezo kadhaa mikubwa ambayo kama itafanya vizuri itakuwa katika nafasi nzuri na kubwa ya kutangazwa mabingwa wapya wa VPL msimu huu.


Machi 4,2018
Simba VS Stand United

Machi 8,2018
Mtibwa Sugar VS Simba

April 7.2018
Simba VS Yanga

April 12,2018
Simba VS Mbeya City

Msimamo wa Ligi VPL



No comments:

Post a Comment