Tuesday 13 February 2018

Neymar azidi kuwatisha Real Madrid UEFA atuma salam zake.(+Picha)

Wakati Real Madrid kesho inaivaa PSG katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mshambuliaji wake nyota, Neymar ameongeza tatuu nyingine.
Related image=
Wakati Neymar anarejea Hispania kwa ajili ya mechi hiyo, ameamua kuongeza tatuu ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Neymar ameongeza mchoro huo mguuni akionyesha ameipania mechi hiyo na ana imani wataivuka Madrid na kusonga mbele.

Mshambulizi huyo alijiunga na PSG akitokea FC Barcelona kwa dau la pauni milioni 198 na kuweka rekodi mpya ya usajili.

No comments:

Post a Comment