Thursday 8 February 2018

St. Louis watua Dar es salaam kwa mtindo huu tayari kwa mechi na Yanga.

Image result for Shelisheli St Louis
Mabingwa wa Shelisheli, St Louis wametua nchini kimya kimya tayari kuwakabili Yanga.

Kikosi hicho tayari kimeanza kujiandaa na mechi hiyo kwa kufanya mazoezi jijini Dar es Salaam.

Mabingwa hao wa Shelisheli wanaamini kufika mapema nchini ni kupata nafasi ya kuzoea vizuri mazingira na hali ya hewa ya Tanzania.
St.Louis

Timu hiyo itashuka dimbani Jumamosi, kuwavaa Yanga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

No comments:

Post a Comment