Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo Bw. Boniface Wambura leo imetangaza rasmi tarehe ambayo Watani wa Jadi (Simba SC na Yanga SC) kukutana.
Akitaja pamoja na mechi nyingine ambazo leo zimetolewa ratiba yake rasmi, Wambura alitangaza rasmi sasa kuwa tutakutana na watani wetu wa Jadi Yanga tarehe 29.04.2018
Pamoja na michezo mingine mbalimbali ambayo leo imetolewa ratiba yake rasmi, klabu ya Simba imepangwa kucheza
Njombe Mji FC Vs Simba April 3
Mtibwa vs Simba Aprili 9
Simba vs Mbeya Citty 12 April
Simba Vs Prison April 16
Lipuli FC vs Simba Aprili 20
Simba vs Yanga Aprili 29
No comments:
Post a Comment