Wednesday 19 February 2020

Wapandishwa kizimbani kwa Kujilawiti na Kusambaza Picha za Ngono.



Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo kulawiti na kusambaza picha za ngono mtandaoni.


Washatakiwa hao wakazi wa DSM ni Aisha Juma (Video Vixen) na Mfanyabiashara Samwel Philemon 

 Aisha anadaiwa kusambaza video za ngono December 12,2019 katika maeneo tofauti Dar na Samwel katika siku isiyojulikana na mahali pasipo julikana anadaiwa kumuingilia Aisha kinyume na maumbile huku akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria.

Hakimu Chaungu ametoa masharti ya dhamana ya Tsh. Million 10 ambapo washtakiwa hao wameshindwa kutimizia, kesi imeahirishwa hadi February 26,2020 na washtakiwa wote wamerudishwa mahabusu.
 
 

No comments:

Post a Comment