Tuesday 20 October 2020

Tetesi za soka Ulaya.



 Meneja wa Arsenal Mikel Arteta amemuambia Mesut Ozil, 32, kuawa na miezi miwli tu ya kuthibitisha uwepo wake ndani ya klabu. Mjerumani huyo maarufu aliyeishindio Ujeruamani katika kombe la dunia hajaanda kuwacvhezea Gunners tangu tarehe 7 Machi (Express)

Barcelona na Real Madrid wanafuatilia kwa karibu hali ya kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes mwenye umri wa miaka 26 katika Manchester United wakiwa na nia ya kujaribu kusaini nae mkataba . (Sun)

Bruno Fernandes
Maelezo ya picha,

Barcelona na Real Madrid wanamtaka Bruno Fernandes

Wachezaji wa Barcelona amekataa pendekezo la kukatwa malipo lililotolewa na rais wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu. (Marca

Watford ilikataa dau la siku ya makataa ya pauni milioni 25 lililotolewa na timu ya Primia Ligi Crystal Palace kwa ajili ya winga Msenegali Ismaila Sarr, 22. (Mail)

Meneja wa Leicester City Brendan Rodgers anasema Islam Slimani, mwenye umri wa miaka 32, bado ni sehemu ya mipango yao. Mshambuliaji huyo wa timu ya Algeria hajawachezea Foxes tangu Januari 2018. (Telegraph - subscription required)

Mshambuliaji wa zamani wa primia Ligi na Jamuhuri ya Ireland Robbie Keane, mwenye umri wa miaka 40, atarudi upande wa MLS - LA Galaxy kama meneja mpya wa klabu hiyo . (Sun)

Juventus wanapanga uhamisho wa £360m kumnasa mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 21, klabu hiyo ya Serie A inaweza kumpeleka Cristiano Ronaldo upande wa pili. (Mirror).


No comments:

Post a Comment