Tuesday 24 August 2021

KAULI YA KWANZA YA HAJI MANARA BAADA YA KUJIUNGA YANGA


 Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametambulishwa rasmi na Klabu ya Yanga.

“Nimejiunga na Klabu kubwa kupita zote Afrika Mashariki na Kati, huu ukubwa lazima nifanye na klabu kubwa. Nitashirikiana na wenzangu kutimiza malengo ya Klabu.” Haji Manara.



No comments:

Post a Comment