Saturday 24 October 2015

CHELSEA IMESHINDWA KUTAMBA DHIDI YA WEST HAM

Ligi kuu nchini uingereza imeendereza hii leo kwa michezo kadhaa kupigwa wakati mabingwa wa tetezi wa ligi hiyo chelsea ikizidi kupata matokeo mabaya zaidi chini wa kocha wake Jose mourinho uku kocha huyo akiwa amepigwa benchi kwa mechi moja iliyochezwa hii leo na shirikisho la soka FA kwa Kupewa adhabu ya utovu wa nidhamu  pamoja na kulipa  faini ya  paund milion 50000

jumamosi  24 October

ArsenalArsenal       2 - 1Everton Everton
 
West Ham UnitedWest Ham United   2 - 1Chelsea Chelsea
 
Stoke CityStoke City              0 - 2Watford Watford
 
Norwich CityNorwich City          0 - 1West Bromwich Albion West Bromwich Albion
 
Leicester CityLeicester City          1 - 0        Crystal Palace Crystal Palace
 
Aston VillaAston Villa              1 - 2          Swansea City Swansea City





                                                  Jose mourinho akiwa upande wa mashabiki
                                                 


                                                       MSIMAMO WA LIGI

                                                 Matic akipewa kadi nyekundu
                                   west ham akishangilia ushindi
West Ham (4-3-2-1): Adrian 7; Jenkinson 7, Collins 7, Tomkins 8, Cresswell 7; Noble 7 (Ogbonna 90, 6), Kouyate 8.5, Lanzini 7 (Obiang 82, 6): Payet 7, Zarate 7.5 (Carroll 69, 7); Sakho 7 
Subs (not used): Randolph, Valencia, Jelavic, Antonio
Goals: Zarate (17), Carroll (79)
Bookings: Kouyate 
Manager: Slaven Bilic 8







Chelsea (4-2-3-1): Begovic 5; Zouma 5, Cahill 6.5, Terry 6, Azpilicueta 6 (Baba 87, 6); Matic 4, Ramires 5 (Falcao 82, 6); Willian 6, Fabregas 5 (Mikel 45, 5), Hazard 6; Costa 5. 
Subs (not used): Oscar, Traore, Amelia, Loftus-Cheek
Goals: Cahill (56)
Bookings: Azpilicueta, Fabregas, Matic, Willian, Costa, Mikel
Sent off: Matic (44)
Manager: Jose Mourinho 5
Attendance: 34,977  
Referee: Jonathan Moss (West Yorkshire) 7
Star man: Kouyate

                           corall wa west ham akishangilia goli la pili dhidi ya chelsea

No comments:

Post a Comment