Friday, 16 October 2015

FAINI NYINGINE KWA JOSE MOURINHO





 Kocha mwenye maneno mengi katika ulimwengu wa soka ambaye ni meneja wa klubu ya chelsea Jose Mourinho amesema faini ya pauni 50,000 aliyotozwa na chama cha soka cha England (FA) si sahihi.
Mourinho amepewa adhabu hiyo ya faini pamoja na marufuku ya mechi moja, ambayo haitatekelezwa kwa sasa, baada ya kupatikana na hatia ya utovu wa nidhamu kufuatia kauli yake kuhusu refa Robert Madley mara baada ya Chelsea kufungwa 3-1 na Southampton.

                                                        Kocha Jose Mourinho
Mourinho ameeleza kuwa kutozwa faini hiyo na kufungiwa mechi moja ni kitu cha kushangaza
kwa kusema hana hatia yoyote .

No comments:

Post a Comment