Thursday 22 October 2015

LOWASA AHAIDI KUTATUA KERO YA MAJI NDANI YA SIKU 100



Zikiwa zimebaki dakika za lala salama katika kuelekea kufanya maamuzi sahihi kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano katika kufanya chaguzi ya  Raisi, wabunge pamoja na madiwani. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyoundwa na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edwrad Lowassa ameahidi kutatua kero sugu ya maji safi na salama nchini ndani ya siku mia moja tu baada ya kuchaguliwa kwakwe kuwa rais wa Tanzania.
Ni miaka 54 sasa ya uhuru wa Tanzania.
                                       Baadhi ya wananchi wakiwa katika foleni ya maji
 Pia ameawaahidi watanzania kutumia rasilimali zilizopo kuinua uchumi wa nchi

Edwrad Lowassa na timu yake ya kampeni amefanya mikutano mikubwa katika maeneo ya Handeni, Kilindi kabla ya kuhitimisha kwa kishindo katika mkutano mkubwa wa hadhara ifakara mjini Morogoro.
                              Edward lowasa akiwa na Timu yake ya ukawa

No comments:

Post a Comment