Friday 23 October 2015

LOWASA NITARUDI MONDULI KULIMA NIKISHINDWA URAISI

Mgombea wa nafasi ya uraisi kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Mh.Edward Lowasa aliyasema hayo alipokuwa akifanya maojihano na shirika la kimataifa la utangazaji bbcswahili alipoulizwa endapo ikitokea ukashindwa kushinda nafasi ya uraisi utafanyaje?
nitarudi monduli kujishughulisha na kilimo  pamoja na kuchunga mifugo alisema Lowasa



                                                      Edward Lowasa


Mgombea huyo ambaye anawakilisha muungano wa vyama vinne vya siasa CUF,NLD,NCCR MAGEUZI,CHADEMA vinavounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA).  Akiwa
amebakiza siku moja tu kuitimisha kampeni zake za kujinadi kugombea nafasi hiyo ya uraisi ambapo oktoba 24 katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam ndio hitakuwa hitimisho la kampeni zake katika kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment