Oscar wa Chelsea akishangilia Goli
Mechi za makundi za michuano hiyo ziliendelea tena usiku wa jana kwa michezo kadhaa katika hatua ya makundi.
CSKA Moscow imeambulia kipigo cha mabao 2-0 na Wolf-Sburg, Manchester United ikitoshana nguvu na PSV Eindhoven bila ya kufungana.
Manchester United duo Jesse Lingard (kushoto) na Wayne Rooney (kulia)
Kwingineko FC Astana imetoka sare ya bao 2-2 na Benfica, Atletico Madrid imeifunga Galatasaray bao 2-0.
Borussia Moenche-ngladbach imeibamiza sevilla bao 4-2 , huku Vijukuu vya turini Juventus waikiicha Manchester City bao 1-0.
Mechi hizo za Uefa hatua ya makundi zinatarajia kuendelea tena hapo December 08 mwaka huu kwa michezo miwili ambapo Paris St Germain itaikabili Shakhtar Donetsk.
Na Real Madrid itakuwa ikimenyana na Malmö zikiwa ni mechi za kundi A.
Mesut Ozil wa Arsenal akishangilia Goli
No comments:
Post a Comment