Wednesday, 11 November 2015

UTAFITI: Vitendo viovu vyasababisha matatizo ya akili

 

Watafiti nchini Uingereza wanasema, kuongezeka kwa vitendo viovu, kunaweza kuwa dalili za mwanzo za matatizo ya akili.
Utafiti huo uliofanyiwa kundi dogo la watu walio na tabia ya kiajabu ajabu, iitwayo fronto-temporal dementia.
Inaonyesha kuwa wagonjwa hao awali wanacheka ovyo hasa wanapotizama au kusikiliza taaarifa mbaya au wanapoangalia maisha yao ya kibinafsi, miaka tisa kabla ya kupatikana na maradhi hayo.




                   Mtu mwenye matatizo ya akili






No comments:

Post a Comment