ASKARI wawili wa
Jeshi la polisi na wane wa idara wanyama pori wanashikiliwa kwa
tuhuma za kusababisha vifo vya
watu wawili, wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya kijangiri Kamishna mkuu wa jeshi
la polisi kanda maalum ya Dar es salaam
Sulaiman Kova amsema kuwa uhunguzi wa awali unaonyesha kuwa askari hao pamoja na wale wa idara ya
wanyama pori walikuwa wanawafuatilia majingiri hao
Kwa mujibu wa Kamnada Kova askari hao wanatuhumiwa kwa kutoa taarifa za ungo na kushirikiana na majingiri katika
oparesheni ilofanyika eneo la sinza
na kutoa taarifa kuwa watu waliokuwa wanafuatiliwa, walifariki katika
harakati hizo
Kova amewataja
askari hao kuwa ni pamoja na
Mkaguzi wa polisi Boni Mbange, Filbert Fulu Saba Emanuel Mbaga, Deogratius
Benadict wa idara ya wanyama pori,Josepaht Jimmy na Asubile Mwakyusa
No comments:
Post a Comment