Monday, 21 December 2015

ZOEZI la Bomoa Bomoa katika Bonde la Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam laendelea



 

ZOEZI la Bomoa Bomoa katika Bonde la Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam lililoanza wiki iliyopita, limeendelea Tena wiki Hii kutekeleza amri ya Tamko la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC ambalo linawataka Wakazi wote Wanaoishi bondeni kuhama Maeneo hayo Hatarishi.












No comments:

Post a Comment