MKEMIA mkuu wa serikali
Professa samweli Manyele amesema asilimia 49 ya matokeo ya uchunguzi ya makosa
ya vinasaba DNA yanayowasilishwa yanaonesha baba si mzazi halali wa mtoto .
Professa samweli amesema hayo
wakati akizungumza na waandishi na City leo jijini Dar es salaam baada ya kufungua mkutano wa wawakala
wa mazingira.
Amesema kesi nyingi wanazo
zipokea katika maabara zinahusu
sampuli ya vinasaba kwa mwaka zinaonyesha asilimia 49 kati ya
asilimia 100 zinaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto.
Aidha manyele ameongeza kuwa
mikoa ya kanda ya ziwa Arusha,Dar es salaam, na Mbeya ndiyo inayoongoza kwa matokeo ya uchunguzi huo wa makosa ya
kinasaba..
No comments:
Post a Comment