Diwani wa kata ya viwandani halmashauri ya manispaa ya dododma Japhary Mwanyemba amechaguliwa kuwa mstahiki meya wa manispaa hiyo katika mkutano wa kwanza wa baraza la madiwani.Katika uchaguzi huo mwanyemba amepata kura 48 sawa na asilimia 82,na hihivyo kumshinda mpinzani wakeyona kusaga kutoka chama cha demokrasia na maendeleo chadema yona kusaga ambae amepata kura nane sawa na asilimia 18. Akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa uchaguzi huo katibu tawala mkoa wa dododma hemedi hussen amesema nafasi ya naibu meya imechukuliwa na jumanne ngebe kupitia chama cha mapinduzi ccm.Wakizungumza wananchi wa mkoa huo baada ya kutangazwa matokeo ya meya wamesema uchaguzi umemalizika kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii.
Friday, 18 December 2015
Home
/
Unlabelled
/
Diwani wa kata ya viwandani halmashauri ya manispaa ya dododma Japhary Mwanyemba amechaguliwa kuwa mstahiki meya wa manispaa hiyo
Diwani wa kata ya viwandani halmashauri ya manispaa ya dododma Japhary Mwanyemba amechaguliwa kuwa mstahiki meya wa manispaa hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment