SERIKALI imesema ,
bomoa bomoa inayoaendelea
katika manispaa ya Kinondoni
Jijini humo, ni zoezi endelevu na kuwa
linatahusisha maeneo yote ya mabonde
Afisa habari wa Manispaa ya Kinondoni
Sebastia Muhohela amesema , wananchi hawana budi kuondoka katika maeneo hayo
kwaajili ya kupisha zoezi hilo
Zoezi hilo Linasimamiwa
na Baraza la taiafa la mazingira
NEMC kwa kushirikiana na Wizara
ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi,ili
kuhakikisha maeneo hayo yanakuwa wazi
No comments:
Post a Comment