DURU za kiusalamaa nchini Pakistan zinaarifu kuwa watu 29 wameuawa na makumi ya wengine
kujiruhiwa katika shambulio la kujitoa muhanga
Tukio hilo limetokea leo hii
baada ya tukio la kujitoa
muhanga, kwa kutumia pikipiki akilenga majengo ya serikali katika mji wa Mardan Kaskazini magharibi mwa Pakistani
Kamanda wa polisi wa eneo hilo faisal Shahzad amsema kuwa mtu huyo mwenye
kujitoa muhanga aliripua bomu mbele ya
ofisi ya
uhamiaji
Kwa upande wake Daktari Ally Khan
wa hospitali ya eneo hilo,
amesema kuwa idadi ya watu
waliojeruhiwa imefikia 40
hadi jioni hii
Kundi la watu wanaodai
ukombozi nchini humo limedai
kuhusika na shambulio hilo, tukio ambalo linakuja sambamba na msururu wa
mashambulizi kati ya kikundi cha
twalibani na makunde mengine
No comments:
Post a Comment