RAIS wa Uturuki Rechep Edgon amefanya ziara nchini
Saudi Arabia, kwa lengo la kutafuta
suluhu kuhusiana na mgogoro wa
Syria
Edgon amepokelewa na mfalme wa
Saudia salman bin Abdil azizi, akiambatana na waziri wake wa mambo ya nje
Edgon amezungumza kabla ya
kuwasili mji mkuu wa Saudi Arabia
kuwa lengo la kwenda Riadhi ni kutaka kutafuta muafaka na
kushauriana kuhusu mgogoro wa kisiasa wa
Syria
Ameongeza kuwa kwa hatua ya Uturuki kushirikiana na Saudia
Arabia, kutasaidia kwa kiasi kikubwa kupata
amani ya kudumu nchini Syria
No comments:
Post a Comment