Michuano ya klabu bingwa ulaya Hatua
ya makundi imehitimishwa jana usiku kwa michezo mbalimbali ambapo
katika mechi za kundi D, Bayer Leverkusen imegawana pointi na Barcelona
kufuatia sare ya bao 1–1, Olympiakos wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal
wakaambulia kichapo cha mabao 3-0 ambayo yamefungwa na mchezaji Olivier
Girioud ikiwa ni Hat-trick kwa mchezaji huyo.
Chelsea wakiwa
nyumbani Stamford Bridge wao wametakata kwa ushindi wa mabao 2 – 0 dhidi
ya FC Porto, Valencia imechapwa bao 2-0 na Lyon,FC Roma imetoshana nguvu na BATE Borislov baada ya sare ya kutofungana 0-0, Bayern Munich imeichapa Dinamo Zagreb bao 2-0, Dynamo Kiev imewafunga Macabbi Tel-Aviv bao 1–0 na KAA Gent imeifunga Zenit bao 2–1 .
Kwa matokeo hayo sasa Timu za Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Man City, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea na Zenit ndio timu ambazo zimeongoza katika makundi na kuungana na timu nyingine katika hatua ya 16 bora, na kuingia droo ya raundi ya muondoano ya timu 16 ambayo inatarajiwa kufanyika Desemba 14.
Porto (4-2-3-1)
Casillas
7; Maxi Pereira 5, Maicon 7, Marcano 4, Martin Indi 6 ; Danilo 7,
Imbula 6.5; Corona,7 Herrera, 6 Layun, 6.5 ; Brahimi 6
Subs
Ruben Neves for Maxi Pereira, 57 – 6.5
Aboubakar for Imbula, 57 – 7
Tello for Herrera, 70 – 6
Manager
Julen Lopetegui 5.5
kocha Jose Mourinho akimpa mkono wa pongezi Diego Costa baada ya kutoka na kumpa nafasi john obi mikel
Mchezaji willian akishangilia goli lililo hitimisha ushindi wa chelsea alilofunga katika dakika ya 52
Kipindi cha kwanza cha mchezo
No comments:
Post a Comment