USAFI:Mkuu wa Majeshi nchini Mh.Davis Mwamunyange sambamba na Jeshi lake Lugalo jijini Dar es Salaam wameshiriki katika zoezi la usafi ikiwa nisehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama rais Dk.John Pombe Magufuli la kutaka siku hii kufanyika usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko.



No comments:
Post a Comment