Friday 18 December 2015

Guus Hiddink uwenda akawa mrithi wa Mourinho chelsea

 
Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambaye ametajwa kukaimu nafasi ya Mourihno na tayari amesafiri kwa ndege leo kwenda kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu hiyo.
 
Hiddink, aliwahi kunoa Chelsea na kuwasaidia kushinda Kombe la FA mwaka 2009, lakini bado hawajafikia makubaliano ya mkataba.
Pia Hiddink alishinda mataji sita ya ligi ya Uholanzi na Kombe la Ulaya akiwa meneja wa PSV Eindhoven ya Uholanzi katika vipindi viwili.


               JOSE MOURINHO

No comments:

Post a Comment