Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukarimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo



No comments:
Post a Comment