MWANDISHI wa habari maarufu nchini Syria Naji Jerf amefariki dunia baada ya kupigwa risasi
mchana kweupe na mtu asiejulikana nchini
uturuki
Hii ni mara ya tatu sasa
kutokea kuuawa kwa waandishi wa
habari ndani ya miezi mitatu ndani ya
nchi hiyo
Naji jerf Mhariri wa
gazeti la kila mwezi la Hintah ambaye
anafahamika kwa kipindi chake ambacho kinaelezea uovu na mateso yanoyofanywa na kundi la dola
la kislaam IS amepigwa risasi na
kufariki dunia katika mji wa Gaziantep
nchini Uturuki
Kifo chake kimeripotiwa na umoja wa wanndishi wa habari ambao
alikuwa akifanya nao kazi
No comments:
Post a Comment