Monday, 28 December 2015

WATU sita wamepoteza maisha na wengine 37 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu nchini syria



 
WATU  sita wamepoteza maisha  na wengine 37  kujeruhiwa katika  mlipuko wa bomu liliotegwa kwenye gari  mapema leo h  katika  mji  wa homs  nchini Syria
Shirika la habari la  Syria  SANA limeripoti kuwa tukio hilo limetokea karibu na kituo cha  kutolea  huduma  ya Ruqya,  katikati ya  mji wa Homs
Kwa  mujibu wa data  za bunge la nchi hiyo zinaripoti kuwa  waliofariki  katika  tukio hilo, wamefikia 30  hadi sasa

No comments:

Post a Comment