Wizara ya Nishati na Madini imewakaribisha
watanzania kuwekeza katika sekta ya uzalishaji umeme hapa nchini.
Msemaji wa Wizara hiyo
Badra Masoud amewataka watanzania wenye uwezo
wa kuzalisha umeme kujitokeza kuwekeza katika sekta hiyo.
Amefafanua kuwa
shirika la umeme nchini Tanzania Tanesco-litakuwa na hali nzuri endapo
wawekazaji watatumia nafasi hiyo itakayosaidia kurahisisha maisha ya
watanzania kwa kupunguza bei ya umeme
No comments:
Post a Comment