Waziri wa wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi William lukuvi leo ametembelea ofisi za wizara hiyo upande wa huduma kwa wateja ili
kujiridhisha na huduma zinazo tolewa kwa wananchi.
Waziri Lukuvi pia
amepata nafasi ya kusikiliza malalamiko ya wateja kucheleweshewa hati zao ambapo ametoa amri
kwa makamishna wa ardhi kutekeleza
wajibu wao kwa wakati.
Aidha waziri ameagiza kuanzisha njia ambayo itayo
msaidi mwananchi aishie mbali na huduma hizo kuanzishwa kwa mtandao
uatakaomuwezesha kuuliza maswali
nakuagizwa kwa ofisi zote za kanda kufunga mitadao.
No comments:
Post a Comment