Wednesday 27 April 2016

Halmashauri ya jiji la Mwanza imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Bilioni moja.

Halmashauri ya jiji la Mwanza imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Bilioni moja baada ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima tangu Januari mwaka huu
Halmashauri ya jiji la Mwanza imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Bilioni moja baada ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima tangu Januari mwaka huu na kuzielekeza fedha hizo kwenye matengenezo ya madawati 6,840.

Mkurugenzi wa jiji la Mwanza, Adam Mgoyi amesema uamuzi wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ulifikiwa ili kutekeleza agizo la Rais John Magufuli linalotaka ifikapo Juni 30 mwaka huu tatizo la madawati liwe limemalizika. 

No comments:

Post a Comment