Wednesday 27 April 2016

Profesa Ndalichako Maafisa elimu kuwajibishwa

Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako


Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema atawawajibisha maafisa elimu wa shule za msingi watakaoshindwa kusimamia elimu na kusababisha wanafunzi kumaliza elimu ya msingi bila kujua kusoma na kuandika.


Waziri Ndalichako ameeleza hayo mjini Iringa kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wakaguzi na wadhibiti wa ubora wa elimu mashuleni kutoka wilaya 31 za mikoa ya Nyanda za Juu na Nyanda za Juu Kusini.

No comments:

Post a Comment