Thursday 14 April 2016

Kauli ya Makamba kuhusu ukataji wa miti

 
Serikali inashirikiana na washirika wa maendeleo kukusanya shilingi bilioni 105 za mpango wa upandaji miti nchi nzima ili kuokoa asilimia kumi ya misitu inayoteketea kila mwaka

 Waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa rais, muungano na mazingira JANUARY MAKAMBA amesema ili kupata fedha hizo wamepanga kupunguza matumizi ya mkaa, kuzijengea uwezo taasisi za umma kuoanisha sheria za mazingira na fedha na kuwepo kwa mfuko wa mazingira wenye uwezo wa utekelezaji wa miradi.
 MAKAMBA amesema wamekubaliana kuunda kamati za kiufundi zitakazoshirikisha watendaji wa wizara na wahisani kuchukua hatua za kuhifadhi mazingira na mabadiriko ya tabia nchi

No comments:

Post a Comment