Friday 15 April 2016

Mambo muhimu unayopaswa kufahamu kuhusu mchezo wa liverpool na Dortmund

  •  
  • Divock Origi amefunga magoli manne kwenye mechi tatu zilizopita alizoichezea Liverpool baada ya kushindwa kufunga goli kwenye mechi tisa kabla ya hizo.
  • James Milner kwasasa ndiyr mchezaji aliyehusika kwenye magoli mengi ya Liverpool zaidi ya mchezaji mwingine yeyote kwenye msimu wa 2025-16 (amefunga magoli 19 na assists 12)
  • Liverpool haijapoteza mchezo wowote nyumbani dhidi ya timu za Ujerumani kwenye michuano ya Ulaya competition (W11 D3)
  • Magoli yote manne ya Liverpool yalitokana na mashuti manne pekee yaliyolenga lango kwenye mchezo huo.
  • Kikosi cha Klopp kimeruhusu magoli matatu kwenye uwanja wa Anfield kwa mara ya sita katika historia ya klabu kwenye michuano ya Ulaya.
  • Aubameyang sasa amefungia Borussia Dortmund magoli 37 kwenye mechi 44 za msimu huu.

No comments:

Post a Comment