Saturday, 23 April 2016

Dakika 90 za Manchester city ,Chelsea ,Liverpool hizi hapa Tazama Picha, matokeo yote,msimamo wa Ligi hapa

Given guessed the right way but was unable to stop the striker's shot. The keeper was subsequently substituted at the interval
Manchester City imepanda hadi nafasi ya tatu katika jedwali la ligi ya Uingereza baada ya kuicharaza Stoke City 4-0 huku ikitarajiwa kumenyana ana Real Madrid katika kombe la vilabu bingwa Ulaya siku ya Jumanne.

Fernando alifunga kwa kichwa na kuwaweka City kifua mbele kabla ya Sergio Aguerro kufunga kwa njia ya Penalti.


Fernando is embraced by Navas, whose corner he headed home to help City stroll into the lead during a low-key first half
Baadaye Kelechi Ihienacho aliyetangazwa mchezaji bora katika mechi hiyo alifunga mabao mawili.
Kwengineko Eden Hazard alifunga bao lake la kwanza na kuisadia timu yake kuishinda Bournemouth.
 Hazard's strike was his first from open play for more than a year and his first time on the scoresheet in the Premier League this season

Cesc Fabregas alisaidia katika mabao matatu ya Chelsea akitoa pasi nzuri kwa wafungaji Pedro,Hazard na baadaye Willian.
Vilevile Newcastle iliimarisha matumaini yao ya kusalia katika ligi ya Uingereza baada ya kutoka sare ya 2-2 na wenyeji Liverpool katika uwanja wa Anfield.
Daniel Sturridge na Adam Lalana waliiweka mbele Liverpool kabla ya Newcastle kukomboa kupitia Papis Cisse na Colback.

LiverpoolLiverpool   2 - Newcastle United Newcastle United
 
BournemouthBournemouth  1 - 4   Chelsea Chelsea
 
Aston VillaAston Villa   2 - Southampton Southampton
 
Manchester CityManchester City  4 - 0 Stoke City Stoke City

Jumapili 24 April

14:05 Sunderl   VS Arsenal
16:15 Leicester VS Swansea 
 
Jumatatu 25 April
20:00 Tottenham VS West Brom

 
Msimamo wa Ligi


PWDLGDPts
1Leicester CityLeicester City34211032673
2Tottenham HotspurTottenham Hotspur34191143968
3Manchester CityManchester City3519793264
4ArsenalArsenal3418972463
5Manchester UnitedManchester United3417891259
6West Ham UnitedWest Ham United34141461456
7LiverpoolLiverpool34151091355
8SouthamptonSouthampton35159111254
9ChelseaChelsea34121111747
10Stoke CityStoke City3513814-1447
11EvertonEverton3491411541
12WatfordWatford3411815-741
13BournemouthBournemouth3511816-1941
14Swansea CitySwansea City34101014-1140
15West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion34101014-1140
16Crystal PalaceCrystal Palace3510916-939
17Norwich CityNorwich City348719-2531
18SunderlandSunderland337917-1830
19Newcastle UnitedNewcastle United357919-2630
20Aston VillaAston Villa353725-4416

No comments:

Post a Comment