Sunday 17 April 2016

Mvua zinazoendelea kunyesha zimefika hapa kwa upande wa Tanga

tanga
Kaya 86 zimelazimika kuhama katika nyumba wanazoishi baada ya kuzingirwa na Maji eneo la Magaoni Mkoani Tanga kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani humo.

No comments:

Post a Comment