Friday 29 April 2016

Tazama Dakika 90 za matokeo ya Liverpool na Villarreal hapa

Philippe Coutinho battles with Tomas Pina and Jonathan dos Santos for the ball deep in Villarreal territory
Michuano ya Uefa  Europa league nusu fainali  imeendelea jana kwa  na kukutanisha timu ya Liverpool na Villarreal uliochezwa
nchini hispania ambapo Villarreal kuibuka kidedea kwa ushindi wa goli 1 kwa 0 mchezo mwingine ulipigwa kati ya Shakhtar Donetsk na sevilla ambao ulimalizika kwa sare ya goli 2-2.

Timu hizo zitarudiana tarehe 5 mei mwaka huu
 
Villarreal (4-4-2):
  Asenjo 6; Gaspar 6, Bailly 7 (Musacchio 76mins), Ruiz 7, Costa 6; Dos Santos 6 (Castillejo 72, 6), Bruno 7, Pina 6, Suarez 6; Soldado 6 (Adrian 74, 6.5), Bakambu 6.
Unused subs: Areola, Samuel, Rukavina, Trigueros.
Booked: Costa.
Goal: Adrian 90.
Manager: Marcelino 6.
Adrian wheels away to celebrate after completing the easy task of converting Suarez's unselfish pass across the penalty area

Liverpool (4-3-3): 
 Mignolet 7; Clyne 7, Toure 7, Lovren 7, Moreno 6; Milner 6, Lucas 6, Allen 6; Lallana 6, Firmino 6 (Benteke 90), Coutinho 6 (Ibe 46, 6).
Unused subs: Chirivella, Skrtel, Smith, Sturridge, Ward.

Manager: Jurgen Klopp 6.
Referee: Damir Skomina 7. 

Villarreal players celebrate wildly after Adrian Lopez netted a stoppage-time winner against Liverpool in their Europa League first leg

James Milner and Christian Benteke stand dejected on the centre circle as they prepare to kick-off following Adrian's late winner

No comments:

Post a Comment