Thursday 12 May 2016

Bei ya sukari mkoani Ruvuma yapanda kufikia hapa.

Wakizungumza na channel ten baadhi ya wananchi wa wilaya hiyo wamesema kuwa wanashitushwa na upandaji wa bei ya sukali na mafuta ya kupikia kiholela kufikia ndoo ndogo ya mafuta ya kupikia kununua kwa shilingi elfu thelathini na tano badala ya shilingi elfu ishirini na tano ambayo ilikuwa ikitumika awali

Hata hivyo wananchi hao wamedai kuwa wafanyabiahara sasa wanaonekana kuto fuata bei elekezi hivyo wameiyomba serikali kuhakikisha inawadhibiti wafanya biashara wakubwa kushusha bei ya vyakula ili wananchi walipo vijijini waweze kumudu bei hizo

No comments:

Post a Comment