Monday 2 May 2016

IMF:Utafiti mpya Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuwa kwa kasi kiuchumi(Tazama listi kamili )hapa


Kwa ukuaji wa asilimia 6.9, Tanzania ipo chini ya Ivory Coast yenye asimilia 8.5. Tanzania itaendelea kufanya vizuri kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji hasa kwenye mafuta na gesi pamoja na maboresho ya miundombinu na kuifanya kuwa sehemu muhimu ya usafirishaji Afrika.

Hii ni orodha rasmi:
1 Cote D’Ivoire 8.5%
2 Tanzania 6.9%
3 Senegal 6.6%
4 Djibouti 6.5%
5 Rwanda 6.3%
6 Kenya 6.0%
7 Mozambique 6.0%
8 Central African Republic 5.7%
9 Sierra Leone 5.3%
10 Uganda 5.3%

No comments:

Post a Comment