Monday, 23 May 2016

Louis van Gaal Kuondoka Manchester united tazama Takwimu kamili ya mechi alizo shinda na kupoteza Van Gaal akiwa Man U.


Van Gaal (left) leaves Stockport train station on Sunday morning, the day after his side lifted the FA Cup


Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala pake.

Louis van Gaal has been sacked by Manchester United just two days after leading the club to the FA Cup

Raia huyo wa Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili ya kandarasi yake kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC Sport kiliripoti siku ya Jumamosi kwamba ushindi wa United wa kombe la FA dhidi ya Crystal palace utakuwa mechi yake ya mwisho akiwa mkufunzi.
Van Gaal's last act at Manchester United was lifting the FA Cup following his side's win over Crystal Palace

Takwimu za  Van Gaal

Mechi: 103
wini michezo: 54
kadroo michezo: 25
Michezo aliopoteza: 24
Jumla ya magoli walioshinda:158
magoli waliofungwa: 98
Asilimia ya ushindi: 52.4%

Van Gaal lost his job because of United's poor Premier League form during the course of the season

Uteuzi wa Mourinho unatarajiwa kuthibitishwa baada ya raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 53 kukutana na maafisa wakuu wa United siku ya Jumanne.

No comments:

Post a Comment